“Uaminifu nafadhili vitakufuata...” — Zaburi23:6
Mbwa humfuata bwana wake bila masharti. Ndivyo tunavyopaswa kumfuata Kristo - si kwa faida bali kwa upendo na uaminifu.
“Uaminifu ni kipimo cha tabia ya kweli.” — Ed,uk. 57
Bwana, nifanye niwe mwaminifu kwako, hata ninapoona kama hujibu maombi yangu.