Jiweke wakfu kwa Mungu wakati wa asubuhi; fanya hii kuwa kazi yako ya kwanza kabisa. Ombi lako liwe, “Nichukue, Ee Bwana, niwe wako kabisa. Ninaweka mipango yangu yote miguuni pako. Nitumie leo katika huduma yako. Kaa nami, na kazi yangu yote ifanyike ndani Yako.” Hili ni suala la kila siku. (Steps to Christ, 70.) - {Pr 23.1}