“Uwe mwaminifu hata kufa...” — Ufunuo 2:10
Kasa hurudi mahali alipozaliwa ili kutaga mayai, hata baada ya safari ya miaka. Uaminifu wa kweli huendelea bila kujali umbali au muda.
“Mungu huthamini uaminifu zaidi ya mafanikio ya nje.”— Christ’s Object Lessons, uk. 356
Bwana, ni jaliemoyo wa uaminifu katika kila wito ulionipa.