“Msimame imara, mkivaa silaha zote za Mungu...” - Waefeso 6:11
Chui hupambana kwa makini na huchagua muda sahihi kushambulia au kujilinda. Mkristo pia anaitwa kuwa makini kupambana na majaribu kwa silaha za kiroho.
“Hakuna ushindi wa kweli usio husisha mapambano dhidi ya dhambi.” — Steps to Christ,uk. 43
Bwana, nijalie nguvu ya kupambana na majaribu kwsa ushindi wako.